‹ Nyuma NAECMadarasa ya NAEC
Programmes & Classes · NAEC

Madarasa ya NAEC

Elimu, mwongozo na ushauri kwa wanawake katika kila hatua ya safari ya uzazi na afya ya familia — na Caren Victor, Maternal Nutrition Specialist.

🤰

Mama's Community (Wajawazito)

Trimester ya 1 hadi kujifungua

Darasa la wajawazito kuanzia trimester ya kwanza hadi kujifungua.

Unajifunza
  • Ukuaji wa mtoto tumboni mwezi hadi mwezi
  • Lishe sahihi & virutubisho muhimu vya ujauzito
  • Mabadiliko ya mwili na homoni
  • Uchungu & maandalizi ya kujifungua · hospital bag checklist
  • Breastfeeding preparation & newborn care basics
  • Mental health ya mama mjamzito · maswali na majibu
1st TrimesterTZS 199,000 2nd TrimesterTZS 149,000 3rd TrimesterTZS 95,000
Jiunge ›
🍼

Lactation Class

Unyonyeshaji & Newborn Care

Darasa maalum kwa wajawazito na wamama waliojifungua.

Unajifunza
  • Kuanzisha unyonyeshaji kwa usahihi · positioning & latch
  • Jinsi ya kuongeza maziwa · pumping & milk storage
  • Bottle introduction · kuzuia nipple pain
  • Mastitis & breast engorgement
  • Sleep patterns · colic, reflux & spitting
  • Newborn care kutoka kuzaliwa hadi mwaka mmoja
Kwa mwakaTZS 119,000
Jiunge ›
🌸

Postpartum Wellness Forum

Kupona & kujiamini tena

Kwa mama aliyejifungua anayehitaji kurejea katika afya njema.

Unajifunza
  • Lishe ya postpartum · kupunguza uzito kwa usalama
  • Core recovery · diastasis recti · C-section recovery
  • Hormonal changes baada ya kujifungua
  • Self-care & mental wellness ya mama
  • Ratiba za kula & kunywa maji · sustainable weight loss
Kwa mwakaTZS 180,000
Jiunge ›
🧒

Toddlers Care & Upbringing

Miezi 6 hadi miaka 5

Kwa wazazi wa watoto kuanzia miezi 6 hadi miaka 5.

Unajifunza
  • Complementary feeding · ratiba za chakula
  • Food refusal & picky eating · child nutrition
  • Ukuaji & maendeleo ya mtoto · milestones
  • Potty training · sleep routines
  • Child behaviour management · healthy family habits
Kwa mwakaTZS 100,000
Jiunge ›
🌱

Pre-Pregnancy Class

Maandalizi ya ujauzito

Kwa wanawake na wanandoa wanaojiandaa kupata ujauzito.

Unajifunza
  • Maandalizi ya mwili kabla ya ujauzito · fertility awareness
  • Menstrual cycle understanding · PCOS & fertility
  • Lishe & virutubisho vya kabla ya ujauzito
  • Weight management · health screening muhimu
  • Male fertility · healthy pregnancy preparation
AdaTZS 75,000
Jiunge ›
💍

Happy Marriage Community

Walio kwenye ndoa au wanaojiandaa

Darasa la wanawake walio kwenye ndoa au wanaojiandaa kuingia kwenye ndoa.

Mada zinazojadiliwa
  • Mawasiliano & fedha ndani ya ndoa
  • Urafiki wa wanandoa · intimacy & connection
  • Parenting ndani ya ndoa · migogoro & utatuzi
  • Kujijenga kama mwanamke · emotional intelligence
  • Respect, appreciation & kujenga familia yenye furaha
Uliza / Jiunge ›

Personalized Nutrition Plan

Huduma ya mtu mmoja mmoja (VIP)

Mpango maalum wa lishe ulioandaliwa mahsusi kwako.

Inajumuisha
  • Nutrition consultation ya kina · personalized meal plan
  • Food guide · water schedule
  • Follow-up ya mwezi mmoja · marekebisho kulingana na maendeleo
  • Inafaa: wajawazito, wanaonyonyesha, PCOS, weight loss, general wellness
AdaTZS 300,000
Anza Sasa ›